BAADHI ya wanamuziki wa Bongofleva, katika kuandika, kutayarisha na kurekodi nyimbo zao, huwa wanapata na hata kuchukua mawazo kutoka katika kazi ambazo zilifanya vizuri hapo awali.
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Vanillah ameishukuru Kampuni ya kimataifa ya Apple Music kumweka katika orodha ya nyimbo 'playlist' ya pamoja na mastaa wakubwa ulimwenguni.
Siku moja tu baada ya kuimarisha umaarufu wake kwa kujishindia mataji mawili ya tuzo za Afrimma mwanamuziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz anaendelea kuvutia mashabiki wapya kila uchao. Alishangazwa ...