Msichana kutoka China ameibuka wa pili kwa ubora katika matokeo ya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta). Congcong Wang, 16, alifanyia mtihani wake ...
Matokeo yaliyotangazwa leo yanaonyesha kuwa kwa ujumla asilimia 87.79% ya watahiniwa waliofanya mtihani huo wamefaulu ambapo ni sawa na ongezeko la ufaulu la asilimia 0.49% ukilinganisha na asilimia ...
Nchini Kenya mfumo wa elimu na mitihani wa 8-4-4 umefikia kikomo huku wanafunzi wa shule ya msingi wakifanya mtihani wa mwisho wa kumaliza darasa la nane, KCPE. Baada ya sasa, wanafunzi wa shule ya ...