Naitwa Piusi mkazi wa Mwanza, Mei 2020 nilifunga ndoa na mpenzi wangu ambaye tulidumu kwenye uchumba kwa miaka mitatu, tulipendana sana na kila mtu alifurahia mahusiano yetu maana tulikuwa mfano bora ...
Nimeishi na mume wangu katika raha na shida, hakuna wakati ambao nimewahi kukata tamaa juu yake anapokosa riziki, najua leo amekosa ila kesho atapata, na hiyo ndio ilikuwa imani yangu hadi tunaoana.