Ililenga kuelimisha jamii kutambua umuhimu wa dhima hiyo ya kutii sheria bila kulazimishwa. Elimu hiyo iligusa makundi mbalimbali wakiwamo madereva ili wanapoendesha vyombo vya moto wazingatie sheria ...
ULAZIMA wa Tanzania kufanya mapinduzi ya elimu, sayansi na teknolojia ni hoja zinazotawala maoni ya makundi mbalimbali yanayosikika wakati wa kuhakiki rasimu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Wadau ...