DAR ES SALAAM; Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetangaza fursa 12 zitakazotokana na Tanzania kuwa mwenyeji mwenza wa ...
Ushirikiano huo unalenga kuwezesha wananchi kulinda umiliki wa hisa zao kisheria na kuhakikisha zinarithishwa kwa vizazi vyao ...
KIASI cha mazao yaliyouzwa kupitia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kimeongezeka kwa asilimia 43.6 katika mwaka wa fedha 2025/26. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Julai 31, 2026, Mkuru ...
DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itachukua hatua za kuimarisha taaluma ya uchukuzi nchini, ...
DAR ES SALAAM: Serikali imesema imefanikiwa kuwaendeleza wabunifu 70 waliotokana na mashindano ya Sayansi na Teknolojia ...
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema ukosoaji wenye nia njema ni sehemu muhimu ya maendeleo ya ...
DAR ES SALAAM: Ujumbe wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) ukiongozwa na Thabo Letjama umekutana na kufanya mazungumzo na ...
MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia mtaala mpya wa… ...
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakili Vijana ndani ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS–AYL), Wakili Emmanuel ...
IRINGA: MKOA wa Iringa umeingia katika hatua nyingine ya mapambano dhidi ya utapiamlo na lishe duni baada ya Mkuu wa Mkoa, Kheri James, kutangaza sera ya uwajibikaji mkali kwa watendaji wote wanaosima ...
Miongoni mwa barabara tulizozipa kipaumbele awamu ya kwanza ni Mkurumusi kwenda Lukarasi, barabara ya Kiwombi Kata ya Amani ...
Mkurugenzi Mkuu wa COPRA, Irene Madeje Mlola, amesema ushiriki wa Mamlaka mwaka huu umejikita katika kuhakikisha wadau ...