KATIKA kipindi cha hivi karibuni, sekta ya sukari nchini imekuwa ikikumbwa na changamoto nyingi, hususan suala la bei za sukari kupanda kiholela. Baadhi ya viwanda vya sukari viliongeza bei ya sukari ...
NI siku 162 za Paul Makonda kushika nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambazo alizitumia kufanya ziara kwenye mikoa mbalimbali nchini, kutoa matamko mazito na ...
MKUU wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameipongeza timu ya Tabora United kwa kuendelea kufanya vyema kwenye michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara, huku akiiahidi kuizawadia Sh. Milioni 200 iwapo itamaliza ...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Ubunifu wa Afrika Kusini, Dk Bonginkosi Nzimande amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa teknolojia ya anga kati ya Tanzania na Afrika Kusini. Dk Mzimande ...
Zanzibar imefungua ukurasa mpya katika historia ya usafiri wa umma baada ya kuzindua rasmi huduma ya mabasi yanayotumia nishati ya umeme, hatua inayotarajiwa kubadilisha sura ya usafiri visiwani humo ...
Wilaya ya Rufiji kupitia Halmashauri, na taasisi nyingine za Serikali inaendelea na utekelezaji wa shughuli za maendeleo kama zilivyoelekezwa katika Ilani ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ya Chama cha ...
Serikali imesema utekelezaji wa shughuli za Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) unapaswa kuzingatia sio tu sheria, kanuni na miongozo ya uratibu, bali pia matakwa ya sheria nyingine za nchi. Naibu ...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kaskazini limesema limefanisha miradi yote mikubwa kama barabara, viwanda na migodi kuwa na cheti cha Tathmini ya Athari kwa ...
Kikosi cha Taifa Stars, kinachotarajiwa kuvaana na Niger kwenye mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026, itakayopigwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar leo saa 10:00 alasiri. WAKATI Taifa ...
KATIKA hatua ya kihistoria ya kutetea afya za Watanzania na kulinda mazingira, kundi la wanaharakati wanne limefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu Masjala Kuu ya Dodoma, likitaka serikali ichukue ...