Shirika la Reli Tanzania (TRC) limewaomba abiria wanaofanya safari zao kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma kupanga ...
Wataalamu wa sheria wamesema kitendo cha mwimbaji wa muziki wa injili, Goodluck Gozbert kuchoma moto gari aliyopewa kama zawadi ni kinyume na uvunjaji wa sheria ikiwemo ya mazingira na sheria ...
Watu wanne wamefariki dunia na 20 wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea jioni ya jana Jumamosi, Januari 25, 2025 eneo la Msolwa, Chalinze Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Ajali hiyo ...
Wakati Benki ya Azania ikiweka historia ya kukusanya Sh63.3 bilioni ndani ya siku 32, asilimia 97 ya waliowekeza kwenye hati fungani hiyo ni wawekezaji mmoja mmoja.
Baada ya watumishi wa umma jijini Dar es Salaam kutangaziwa kufanyia kazi nyumbani isipokuwa wale ambao mazingira yao ya kazi ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (World Food Programme -WFP) limesema litaendeleza ushirikiano na ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua Mfumo Jumuishi wa Forodha Tanzania (Tancis) ulioboreshwa, ambao unatajwa kuwa tiba ...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Deogratius Mahinyila amesema kauli mbiu ya ‘No reforms, no election’ ...
Mkutano wa 18 wa Bunge la 12 unaanza keshokutwa Jumanne, Januari 28, 2025 huku wachambuzi wa masuala ya siasa na wananchi ...
Waajiri wa sekta binafsi nchini Tanzania wameshauriwa kuruhusu watumishi wao katika Mkoa wa Dar es Salaam kufanyia kazi nyumbani au kuweka utaratibu ambao hautasababisha changamoto ya ...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema ...