At least 78 dead bodies have been pulled from an illegal gold mine in South Africa where police cut off food and water supplies for months, in what trade unions called a "horrific" crackdown on ...
Baada ya miezi 15 ya kukimbia makazi yao, wakazi wa Gaza nchini Palestina wameanza kurejea katika eneo lao kama sehemu ya ...
Ngwe ya kwanza ya mkutano wa wakuu wa nchi Afrika kuhusu nishati imekamilika na kuibua matumaini ya kufikiwa kwa lengo ...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, amesema licha ya maendeleo makubwa yaloyofanyika, bado Bara la Afrika linakutana na ...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amesema mataifa ya Afrika yanapaswa ...
Geita. Wanafunzi saba wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Businda, iliyopo wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita, ...
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Judith Nguli, ameagiza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) kushughulikia haraka ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameupandisha Mji wa Kibaha, Mkoa wa Pwani, kutoka Halmashauri na kuwa Manispaa lengo likiwa ni ...
Agizo hilo linatolewa baada ya Mwananchi kuripoti baadhi ya shule binafsi kuwarudisha madarasa wanafunzi waliopata madaraja ...
Ripoti ya uchunguzi wa awali wa tukio la ajali ya ndege ya Shirika la Jeju, iliyosababisha vifo vya watu 179 huku wawili ...
Furaha hiyo itaendelea mwezi ujao baada ya Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, kusema kuwa daraja hilo litaanza kutumika.
Wakati ukimya ukitawala juu ya hatma ya kufunguliwa kwa Soko la Kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wafanyabiashara ...